MSHINDI "UMOJASWITCH ATM ZALI" APATIKANA...


Msimamizi wa Michezo ya Kubahatisha kutoka Bodi ya Taifa ya Michezo ya Kubahatisha, Abdallah Hemed (kushoto) akipokea kadi ya kumpata mshindi wa bahati nasibu ya "UmojaSwitch ATM Zali" kutoka kwa Mkazi wa Dar es Salaam, Judith Kajirunga iliyofanyika leo jijini. Wanaoshuhudia ni Meneja wa Biashara wa UmojaSwitch, Linas Kahisha (wa pili kushoto) na Meneja Utawala, Gertrude Mbiduka.

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item