REAL MADRID ILIVYOIZIMA MANCHESTER CITY JANA...


Kama hukubahatika kuona mechi ya jana kati ya Real Madrid ya Hispania dhidi ya Manchester City ya Uingereza katika Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya makundi, basi hivi ndivyo mabao yote yalivyotinga na kuifanya Real inayonolewa na Jose Mourinho kuibuka na ushindi wa mabao 3-2.

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item