CHEKA TARATIBU...

Siku moja paka kamfuata ng'ombe na kumuuliza, "Hivi kwanini kila ukimaliza kukamuliwa maziwa huwa unanuna sana?" Ng'ombe akajibu, "Hata ungekuwa wewe. Fikiria kila siku nakamuliwa mimi lakini unaonjeshwa wewe!" Balaa...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item