AIBUKA NA KUDAI MICHAEL JACKSON AMREJESHEE GHARAMA ZAKE...
https://roztoday.blogspot.com/2013/01/aibuka-na-kudai-michael-jackson.html
KUSHOTO: Michael Amir Williams. KULIA: Michael Jackson. |
Msaidizi binafsi wa Michael Jackson alilipa mkusanyiko wa gharama wakati Mfalme huyo wa miondoko ya Pop alipokuwa akiishi mjini Las Vegas. Sasa, miaka mitatu baadaye, hatimaye amejitokeza akitaka kurejeshewa fedha hizo.
Michael Amir Williams amefungua madai dhidi ya wakala wa Michael Jackson, akidai aligharimia Dola za Marekani 28,569.83 (Karibu Shilingi za Kitanzania milioni 45.7). Kati ya vitu vilivyoorodheshwa ni Dola 11,000 (Sh milioni 17.6)za bili ya umeme, Dola 13,000 (Sh milioni 20.8) za kukodi gari na takribani Dola 1,000 (Sh milioni 1.6) za bili ya simu.
Kuhusu sababu za kuchukua muda mrefu kufungua madai hayo, haikuweza kufahamika.
Michael Jackson alifariki Juni, 2009 ... ambapo wengi wao walifungua madai yao miaka kadhaa iliyopita. Inawezekana kabisa akawa amepitisha muda wa mwisho wa kufungua madai kwa kitambo kirefu.