CHEKA TARATIBU...

Kibaka mmoja mroho kavamia jengo moja na mara baada ya kufanikiwa kuingia ndani akaona mbele yake chupa kibao juu ya meza. Moja kwa moja akaanza kufakamia  na baada ya kumaliza chupa kama kumi hivi akageuka mlangoni kutazama usalama. La haula, macho yake yakakutana na bango kubwa mlangoni lililosomeka: "CHUMBA CHA KUHIFADHIA SAMPULI ZA HAJA NDOGO". Balaa...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item