MWIGIZAJI BONGE WA "THE WIRE" AKUTWA AMEKUFA NYUMBANI KWAKE...

Robert F. Chew -- anayejulikana zaidi kwa kucheza kama Proposition Joe kwenye "The Wire" -- amekutwa amekufa juzi katika nyumba yake mjini Baltimore, imefahamika.
Kwa mujibu wa mamlaka za mjini Baltimore, Chew alifariki kutokana na maradhi ya moyo. 'Unene wa kuchukiza' vimeorodheshwa kuwa ni miongoni mwa vilivyochangia mauti yake.
Chew alikuwa na uzoefu mdogo mno wa kuigiza kabla ya "The Wire" ama baada. Alikuwa kwenye kikundi cha Shoo ya HBO -- ambayo ilikuwa ikioneshwa mjini Baltimore kwa misimu mitano.
Jamie Hector, ambaye alicheza kama Marlo kwenye shoo hiyo, alituma ujumbe kwenye mtandao wa Twitter jana mchana, "Sitaki kuamini hili #Kalale Pema Peponi Robert F Chew, Prop Joe utakumbukwa daima Robert Chew utaendelea kupendwa na kukumbukwa!"

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item