CHEKA TARATIBU...
https://roztoday.blogspot.com/2013/02/cheka-taratibu_15.html
Jamaa kapiga simu ofisi za Makumbusho ya Taifa na mambo yalikuwa hivi. JAMAA: "Haloo, hapo ni Makumbusho ya Taifa?" OFISI: Ndio, tukusaidie nini?" JAMAA: "Naomba mnikumbushe mwaka jana nilikuwa na mpenzi yupi siku ya Valentine!" Duh, kasheshe...
Posted by
Ekisha Admin