CHEKA TARATIBU...

Mwalimu wa darasa kauliza swali kwa wanafunzi wake. Shekhe Mkuu wa Tanzania anaitwa nani? Darasa zima wakanyoosha juu mikono na mwalimu akamchagua mmoja huku wengine wakiwa bado wamenyoosha mikono juu. Mwanafunzi akajibu, "Ostadhi Juma na Musoma!". Mwalimu akashangaa kuona  darasa zima wanashusha mikono. Mwalimu akauliza, "Mbona wote mmeshusha mikono?" Wanafunzi wakajibu kwa pamoja, "Huyohuyooooooo!" Kweli Bongofleva imeshika chati…

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item