CHEKA TARATIBU...

Wasukuma watatu walikaribishwa kwenye hafla moja katika hoteli kubwa ya kitalii mjini Arusha. Katika hafla hiyo Wasukuma hao walihudumiwa kwa vinywaji mbalimbali, lakini mmoja wao akaonekana kuvutiwa mno na soda. Wakati wakiondoka akaficha kizibo cha chupa kwenye mfuko wa suruali na kumnong'oneza mwenzake: "Mwenzako nimechukua mbegu, vipi wewe?" Duh...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item