CHEKA TARATIBU...
https://roztoday.blogspot.com/2013/04/cheka-taratibu_6.html
Mchungaji mmoja kamfuata jamaa aliyekuwa kwenye gari la kifahari na kumkabidhi kadi ya mchango wa ujenzi wa kanisa. Jamaa akajibu: "Siwezi kuchangia kanisa maana pesa zangu ni za haramu. Nafanya ushirikina na kuuza dawa za kulevya." Mchungaji akajibu: "Haina neno, we changia tu tutazitumia kujengea upande wa chooni!" Duh, kasheshe...
