Jamaa mmoja alitoka kanisani na kuelekea nyumbani. Alipofika kwake akamkumbatia mkewe na kumnyanyua juu. Mkewe akauliza: "Vipi mpenzi wangu, mbona leo sikuelewi? Huku akiwa bado kamnyanyua, mume akajibu: "Mchungaji ametuambia tunyanyue matatizo yetu juu kwa Bwana Yesu!" Kasheshe...