NASSARI ALAZWA HOSPITALI KUFUATIA KIPIGO KIKALI...
https://roztoday.blogspot.com/2013/06/nassari-alazwa-hospitali-kufuatia.html
![]() |
| Joshua Nassari. |
Habari zilizopatikana kutoka Arusha zinasema kwamba Mbunge wa Arumeru Mashariki ambaye alikuwa ni Meneja Kampeni wa Chadema katika uchaguzi wa Kata ya Makuyuni wilayani Monduli, mkoani humo, Joshua Nassari amelazwa Hospitali ya Selian kwa ajili ya matibabu baada ya kupigwa na watu wasiojulikana eneo la Makuyuni wakati akipita kwenye kata hiyo kuangalia jinsi uchaguzi huo unavyoendelea.
