SAA ZA MWISHO ZA RAIS OBAMA DAR ES SALAAM KABLA YA KUONDOKA...
https://roztoday.blogspot.com/2013/07/saa-za-mwisho-za-rais-obama-dar-es.html
![]() |
| Rais Barack Obama akionesha uwezo wake wa kuchezea mpira maalum wakati alipotembelea mitambo ya kuzalisha umeme iliyoko Ubungo, Dar es Salaam leo asubuhi. |
![]() |
| Rais Barack Obama akisalimiana leo asubuhi na walionusurika pamoja na ndugu wa marehemu waliokufa kwenye mlipuko wa bomu katika Ubalozi wa Marekani mjini Dar es Salaam. |



