TUNAWATAKIA HERI YA SIKUKUU YA IDD EL FITR...

Mhariri na timu nzima ya ziro99blog tunawatakiwa Waislamu wote, watangazaji wetu, wasomaji wetu na Watanzania kwa ujumla Heri na Fanaka katika kusherehekea Sikukuu ya IDD EL FITR.
Wakati tukisherehekea siku hii muhimu, tunawaasa Waislamu wenzetu wote kushiriki kikamilifu kudumisha amani ya nchi hii na kuishi vile Maandiko Matakatifu yanavyoelekeza.
Pia tunawaomba Waislamu wote tuyaendeleze yale matendo mema na mawaidha tuliyopata katika kipindi cha Mfungo Mtukufu wa Ramadhani.

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item