MKUU WA WILAYA AFARIKI DUNIA...

 BREAKING NEWS!!  Mkuu wa Wilaya ya Liwale mkoani Lindi, Paul Chiwille (pichani) amefariki dunia ghafla akiwa usingizini kwenye nyumba moja ya kulala wageni. Habari zilizotufikia zimesema kwamba Chiwille alikuwa akijiandaa kukutana na baadhi ya viongozi wa wilaya. Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu Chiwille. Habari zaidi zitakujia hapahapa ziro99blog.

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item