MWANAFUNZI ASHINDA PROMOSHENI YA "VUMBUA DHAHABU CHINI YA KIZIBO"...

https://roztoday.blogspot.com/2012/05/mwanafunzi-ashinda-promosheni-ya.html
Meneja wa bia ya Serengeti, Allan Chonjo (katikati) akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo katika droo ya Promosheni ‘Vumbua Dhahabu Chini ya Kizibo' ambapo mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine cha Mwanza, Mariam Karumba alijishindia Bajaji. Kulia ni Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya kubahatisha, Abdallah Hemedy na Tumainiel Malisa, kutoka PWC Consultant.