https://roztoday.blogspot.com/2012/05/nmb-yazindua-promosheni-ya-maisha-na-nmb.html
Mkuu wa Idara Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NMB, Iman Kajula akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Promosheni ya "Jenga Maisha Yako na NMB" iliyozinduliwa Dar es Salaam leo. Kulia ni Meneja Masoko wa benki hiyo, Shilla Senkoro.