CHEKA TARATIBU...
https://roztoday.blogspot.com/2012/06/cheka-taratibu_17.html
Wanafunzi walipigwa picha ya pamoja wakiwa shuleni, na mwalimu akawa anajaribu kuwashawishi kila mmoja kununua nakala ya picha hiyo. "Najaribu kufikiria jinsi itakavyopendeza kutazama wakati mtakapokuwa wakubwa na kusema, "Yule pale Jennifer, sasa ni Mwanasheria" au "Yule pale ni Michael, sasa ni Daktari."
Sauti ndogo kutoka nyuma darasani ikasikika, "Na yule pale ni Mwalimu, bado mzee, anatisha na mwenye sura yenye makunyanzi!" Balaa...
Sauti ndogo kutoka nyuma darasani ikasikika, "Na yule pale ni Mwalimu, bado mzee, anatisha na mwenye sura yenye makunyanzi!" Balaa...