CHEKA TARATIBU...

Kibabu kimoja kimeenda kwa daktari na baada ya uchunguzi kadhaa Dokta akamwambia: "Nina habari njema na habari mbaya. Kipi ungependa kusikia kwanza?"
Kibabu: "Vema, nipe kwanza habari mbaya."
Dokta: "Una kansa, ninakadiria kuwa umebakiwa na miaka miwili ya kuishi."
Kibabu: "Aah hapana! Inaumiza sana! Katika miaka miwili maisha yangu yatakuwa yameisha! Enhe, aina gani ya habari njema unayotaka kunieleza baada ya hii?"
Dokta: Pia una ugonjwa wa kukosa kumbukumbu. Katika kipindi cha mwezi mmoja ujao utasahau kila kitu nilichokueleza sasa!

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item