MATOKEO YA MECHI ZA JANA MICHUANO YA EURO 2012...
https://roztoday.blogspot.com/2012/06/matokeo-ya-mechi-za-jana-michuano-ya.html
Hili ndio bao alilofunga mshambuliaji 'mtukutu' Mario Balotelli au Super Mario. Katika mechi hii, Italia iliishindilia Ireland mabao 2-0, huku bao jingine likiwekwa kimiani na Antonio Cassano. Katika mechi nyingine, Hispania wakaifanyia kauzibe Croatia kwa kuichapa bao 1-0 na kuiondosha mashindanoni.