CHEKA TARATIBU...

Gharama za matibabu zimezidi kupanda sana hapa nchini Tanzania kiasi cha kuwanyima usingizi wananchi. Huko nchini Marekani, makusanyo ya kodi yameongezeka kiasi kwamba serikali imeamua kubeba mzigo wa kuwatibia bure watu wa kipato cha chini. Katika mkutano mmoja wa masuala ya Afya duniani ambao inasemekana maofisa wetu wa afya walihudhuria na kuwasilisha kero hii hasa upande wa uzazi. Mmoja wa wajumbe kutoka nchi za Ulaya akatoa suluhisho katika kipengele cha utoaji mimba, "Kwa kuwa Tanzania mmeweza kusimamia vizuri MGAWO wa umeme, napendekeza mgawo uhamie kwenye UTOAJI MIMBA.
"Katika orodha wawezesheni wajawazito kuweza kusubiri kutolewa mimba hadi kwa MIEZI TISA!" Duh...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item