EBWANAEEE... KUMBE USHER RAYMOND NI MKALI WA "ROCK"...
https://roztoday.blogspot.com/2012/06/ebwanaeee-kumbe-usher-raymond-ni-mkali.html
Huyu ndiye mwimbaji kijana wa Marekani aliyeiteka dunia na kukubalika kama mkali wa miondoko ya R&B kabla ya hivi majuzi tu kuwaacha midomo wazi wapenzi wake na mashabiki wa muziki kwa ujumla alipodhihirisha uwezo mkubwa pia katika muziki wa Rock. Shuhudia mwenyewe vitu vya Usher....