HAWA NI NDUGU WASIOFAHAMIANA?

https://roztoday.blogspot.com/2012/06/hawa-ni-ndugu-wasiofahamiana.html
KWA MARA NYINGINE TENA TUNAWALETEA NDUGU WASIOJUANA. SAFU HII NI MAHSUSI KWA WATU WANAOFANANA KIMUONEKANO NA HIVYO KUKUPA NAFASI WEWE MSOMAJI KUTOA ALAMA ZA KIWANGO CHA UFANANI WAO. Pichani ni Naibu Waziri George Simbachawene (kushoto) na Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe.