BOBBY BROWN AFUNGA NDOA, BOBBI KRISTINA AINGIA MITINI...

Bobby Brown na mke wake mpya, Alicia Etheridge wamefurahia fungal yao ufukweni mjini Hawaii, Jumanne iliyopita.
Wakati Alicia akionesha maungo yake ya kuvutia huku akiwa kavalia bikini, Bobby alivaa bukta yake ya kuogelea rangi ya kahawia.
Harusi ya wawili hao iliyofungwa huko Honolulu ilihudhuriwa na baadhi ya watoto wa Bobby, lakini ikabainika kukosekana kwa binti yake aliyezaa na Whitney Houston, Bobbi Kristina.
Bobby na Alicia walivishana pete mwaka 2010 na wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume mwenye miaka mitatu, Cassius.

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item