LADY GAGA APONDWA NA NGUZO AKITUMBUIZA JUKWAANI...


Mwimbaji maarufu Lady Gaga alikuwa na usiku mbaya jukwani New Zealand baada ya kuangukiwa na nguzo iliyomgonga kichwani wakati wakati wa onesho lake.
Gaga alikuwa akitumbuiza wimbo wake "Judas" ndipo tukio hilo ambalo halikutarajiwa likatokea, lakini hiyo haikumfanya apotee midundo ya wimbo huo.
Baadaye katika onesho hilo, aliueleza umati uliofurika hapo, "Ninaomba radhi. Nimegongwa kichwani na nguzo na nadhani nimepata maumivu kiasi. Lakini msihofu, nitamalizia shoo yangu bila wasiwasi."

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item