MCHEKESHAJI AVUMBUA TIBA YA SARATANI YA KIBOVU INAYOMKABILI...
https://roztoday.blogspot.com/2012/06/mchekeshaji-avumbua-tiba-ya-saratani-ya.html
Mchekeshaji Tommy Chong amebainisha amegundulika kuwa na maradhi ya saratani ya kibofu ana ameelezea mipango yake ya kuitibu.
Mchekeshaji huyo katika mahojiano na CNN, amesema aligundulika kama mwezi mmoja uliopita. Amesema aliaanza kupata matatizo ya kibofu katika kipindi cha miaka mitatu mfululizo mara tu alipoacha kutumia dawa.
Katika mipango yake ya matibabu, Chong alisema amepanga kutumia bangi, akifafanua, "Najua saratani haifurukuti kwa bangi. Bangi ni tiba pekee."