SIO MTO MSIMBAZI TU, HATA UINGEREZA MAFURIKO YAPO...
https://roztoday.blogspot.com/2012/06/sio-mto-msimbazi-tu-hata-uingereza.html
Hivi karibuni kumeibuka mafuriko ya 'kufa mtu' mjini Aberystwyth nchini Uingereza ambapo watu zaidi ya 150 waliokuwa mapumzikoni wameokolewa kufuatia mvua kubwa iliyonyesha kwa saa 24 tu katika baadhi ya maeneo ya West Wales.
Madhara zaidi ya mvua hiyo fuatilia video hiyo hapo juu na picha.