MIKE "IRON'" TYSON AELEZEA HAMU YAKE KUBWA...
https://roztoday.blogspot.com/2012/06/mike-tyson-aelezea-hamu-yake-kubwa.html
Pamoja na kuweka bayana hamu yake ya kushinda Tuzo za Tony, Mike 'Iron' Tyson amefunguka zaidi katika mahojiano maalumu yaliyofanyika juzi katika Jiji la New York na kudumu kwa Sekunde 60.