https://roztoday.blogspot.com/2012/06/rais-kikwete-alipoteta-na-mkurugenzi.html
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akiongea na Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio mjini Dodoma jana baada ya kikao maalumu na viongozi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na Shirika la Nyumba.