MSAFARA WA CHRIS BROWN WAFANYA KWELI CLUB...
https://roztoday.blogspot.com/2012/06/msafara-wa-chris-brown-wafanya-kweli.html
Live video for mobile from Ustream
Msanii Drake alinyoosha juu kidole chake cha kati, na kujikuta kwenye mashibizano makali yaliyoambatana na matusi, kisha kuwakusanya marapa wengine kumuunga mkono kwa kunyoosha vidole vyao vya kati dakika chache kabla ya kutukanwa kwa sauti na Chris Brown, kwa mujibu wa mashuhuda kadhaa klabuni hapo.
Imeelezwa hofu ilianza kujengeka pale Drake alipomnyooshea kidole cha kati mmoja wa walinzi wa Chris Brown na kupiga kelele ..."Nakaribia kuondoka huku akishangilia!" Msafara wa Chris hapo ukageuka moto baada ya kupeana ishara kadhaa za mikono wao kwa wao.
Tukio lenyewe ni kama lilikuwa kama lilivyonaswa kwenye video hiyo hapo juu.