UPANUZI BARABARA YA MOROGORO WASHIKA KASI...
https://roztoday.blogspot.com/2012/06/upanuzi-barabara-ya-morogoro-washika.html
Upanuzi wa Barabara ya Morogoro unaofanywa kwa kile kinachodaiwa kutoa nafasi kwa mradi wa mabasi yaendayo haraka ikiwa ni mkakati wa kumaliza tatizo la foleni katika jiji la Dar es Salaam, umeendelea kushika kasi kama mafundi walivyokutwa wakichapa kazi eneo la Kiwanda cha Nguo Urafiki jana. (Picha na ziro99blog).