CHEKA TARATIBU...

Trafiki kamkamata dereva kwa kosa la kuendesha gari lake kwa spidi kubwa mno. Alipofika akamweleza dereva kosa lake na kuomba amuoneshe leseni. Dereva akajibu kwa sauti, "Spidi kubwa? Nilikuwa najaribu tu kuweka nafasi ya kutosha kati yangu na gari la nyuma ili asije akanigonga afande!" Duh…

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item