HASWAAA...HUU NDIO WAKATI WAKE...
https://roztoday.blogspot.com/2012/08/haswaaahuu-ndio-wakati-wake.html
Mfanyabiashara wa tende, Bakari Omari akiandaa bidhaa hizo kwa ajili ya kuwauzia wateja wake ambao wengi wao ni waliopo kwenye Mfungo wa Ramadhani kama alivyokutwa Mtaa wa Swahili, Kariakoo, Dar es Salaam jana. Kilo moja aliuza Shilingi 3,000.
Posted by
Ekisha Admin