CHEKA TARATIBU...

Jamaa na mpenzi wake wamesimama wakijishauri jinsi ya kupita katika kichochoro kimoja hatari maeneo ya Temeke. Mara wakaona baunsa mmoja akiwa kavalia cheni za dhahabu huku akiwa na simu mbili mkononi anakuja kwa nyuma yao. Kwa haraka wakaamua kumwacha atangulie kisha wao wafuate. Lakini dakika kumi baada ya baunsa kuingia kichochoroni mara wakasikia kelele za mapambano makali. Ghafla akatoka yule baunsa akiwa anatambaa na manundu kibao huku akijitetea, "Wameniibia bwana lakini kwa taabu ile mbaya!!" Duh...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item