CHEKA TARATIBU...

Kijana mmoja kamuuliza mzee tajiri jinsi alivyoweza kupata pesa zake. Yule mzee bila kinyongo akasema, "Vema kijana wangu, ilikuwa mwaka 1932. Nilikuwa fukara kiasi cha kubakiwa na Senti tano tu."
"Nikawekeza ile Senti tano kwenye epo. Nikatumia siku nzima kulifuta vumbi lile epo na mwisho wa siku, nikaliuza kwa Senti 10."
"Siku iliyofuata, nikawekeza Senti zote 10 kwenye ma-epo mawili. Nikatumia siku nzima kuyafuta vumbi ma-epo yale na kuyauza majira ya Saa 11 jioni kwa Senti 20. Nikaendelea na utaratibu huo kwa mwezi mzima, ambapo mwishowe nikaweza kukusanya kiasi cha Shilingi 1,000."
"Ndipo baba wa mke wangu akafariki na kutuachia urithi wa Shilingi milioni 200!" Duh...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item