CHEKA TARATIBU...
![](http://img2.blogblog.com/img/icon18_edit_allbkg.gif)
https://roztoday.blogspot.com/2012/09/cheka-taratibu_8.html
Jamaa wawili walikodi boti kwenda kuvua samaki kila siku ziwani. Siku ya kwanza wakavua samaki 30. Jamaa mmoja akamwambia mwenzake, "Weka alama eneo hili ili na kesho tuje hapa hapa!" Siku iliyofuata wakiwa njiani kwenda kukodi tena boti jamaa akamuuliza mwenzake, "Ulikumbuka kuweka alama?" Mwenzake akajibu, "Ndio, niliweka alama kubwa X chini ya ile boti." Duh, balaa...