Mchungaji alikuwa akitoa mahubiri kanisani kwa kuwaambia waumini wake, "Nakuapia kama hautaacha pombe hauwezi kuona ufalme wa Mungu!" Ghafla ikaibuka sauti ndogo kutoka kwa mlevi mmoja aliyeketi benchi la nyuma ya kanisa, "Aah usitutishe bwana. Tutaangalia vipindi vingine vya Tv!" Balaa...