MICHANGO KWA WANAOANZA DARASA LA KWANZA MARUFUKU...

Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime amepiga marufuku shule za msingi za Manispaa hiyo kuwatoza fedha wazazi na walezi wanaoandikisha watoto wao kuanza darasa la kwanza.
Wakati Dar es Salaam hatua hizo zikichukuliwa, mkoani Rukwa kumekuwa na taarifa kuwa wazazi wameendelea kutozwa michango mbalimbali kabla ya kuandikisha watoto wao kuanza shule mwakani.
Fuime alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na gazeti hili baada ya kuandika habari ya malalamiko yaliyotolewa na baadhi ya wazazi waliotakiwa kulipa fedha ili watoto wao waandikishwe darasa la kwanza kwa mwaka wa masomo 2013.
“Nilimtuma Ofisa Elimu kufuatilia sula hilo na ni kweli alibaini hali hiyo, siku hiyo hiyo aliitisha kikao cha walimu wakuu wote wa Manispaa na kuwaelekeza utaratibu. Sera ya elimu inasisitiza elimu ya msingi bure, hakuna kiasi chochote ambacho mzazi atatakiwa kulipa,” alisema Fuime.
Mkurugenzi Mtendaji huyo wa Manispaa ya Ilala alifafanua kuwa hakuna utaratibu wowote wa uchangiaji unaofanywa na shule bila kupitishwa na kamati ya shule.
Gazeti la HABARILEO juzi lilibaini baadhi ya shule ambazo wazazi na walezi waliokwenda kuandikisha watoto wao, wakatakiwa kulipa kuanzia Sh 26,000 hadi 28,200, jambo ambalo ni kinyume cha  utaratibu uliowekwa na Serikali inayosisitiza elimu ya bure katika shule za msingi.
Katika Shule ya Msingi Kimanga, mzazi alitakiwa kumlipia mwanae Sh 10,000 ya choo, Sh 10,000 ya madawati, Sh 6,000 ya fulana, Sh 1,200 ya nembo katika shati pamoja na fedha ya mlinzi Sh 1,000.
Katika Shule ya Msingi Tumaini, wazazi na walezi wamekuwa wakitozwa Sh 15,000 ya madawati, Sh 7,000 ya fulana, Sh 2,000 ya lebo, Sh 2,000 ya gharama ya mlinzi pamoja na Sh 2,000 ya picha ambayo anatakiwa kwenda nayo siku anayoanza shule.
“Hatumpokei mtoto yeyote ambaye mzazi wake hatakuja na fedha za uandikishaji, huo ndio utaratibu tuliouweka,” alisema Mwalimu anayeshughulikia uandikishaji wa wanafunzi hao katika Shule ya Msingi Tumaini ambaye hata hivyo hakuwa tayari kutaja jina lake.
Mwalimu mwingine mwenye jukumu kama hilo katika Shule ya Msingi Kimanga aliyejitambulisha kwa jina moja la Mwalimu Mhina, alisema kama mzazi hatakuwa na fedha hizo, mwanafunzi atapokewa lakini mzazi ataendelea kudaiwa.
“Tunataka kila mtoto aliyetimiza umri wa kwenda shule aende, hatutaki kuona mtoto yeyote amekwama kuanza shule eti kwa sababu uongozi wa shule unawatoza fedha wazazi, tutakuwa wakali katika hili na endapo tutabaini hali hiyo hatutasita kuwachukulia hatua wahusika,” alisisitiza Fuime.
Alisema ni vyema utaratibu huo ukazingatiwa ili watoto wanaostahili kujiunga na shule hizo wapelekwe na kuandikishwa bila usumbufu wowote kutokana na ukweli kuwa Serikali imetangaza kuitoa elimu hiyo bure pasipo gharama zozote.
Kutoka Rukwa imeripotiwa kwamba baadhi yaya wazazi na walezi wamelalamikia uongozi wa baadhi ya shule za msingi kwa kujiwekea utaratibu wa kuwatoza michango wanapofika  shuleni kuandikisha  watoto wao kuanza  darasa la kwanza  kwa  ajili ya mwaka wa masomo 2013.
Hayo yamebainishwa  na baadhi ya wazazi  na walezi  kwa nyakati  tofauti  walipokuwa  wakizungumza  na gazeti hili mjini hapa  kwa masharti ya majina yao kutoandikwa gazetini.
Wamedai kuwa  katika baadhi ya shule za msingi hususani katika  Manispaa ya Sumbawanga  walipoenda kuandikisha watoto wao,  walitakiwa  kulipa  kati  ya Sh 10,000 hadi 15,000  kwa ajili ya  kujenga  choo  au  kunulia madawati kutegemeana na mahitaji  ya  shule husika.
Wakizungumza kwa nyakati  tofauti  baadhi ya  walimu wakuu katika baadhi ya  shule za msingi  katika Manispaa  ya Sumbawanga  wamekiri  kuwepo  kwa michango hiyo. 
“Sisi  tunawataka  wazazi na  walezi  wachangie shilingi elfu tano (5,000/-) kwa ajili ya ujenzi wa choo cha shule,” alisema Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Chemchemi, Felician Simwela.
Pia Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mwenge “B”, Franco Nkyandwale amekiri kuwataka wazazi na walezi hao kuchangia Sh 15,000.
“Shuleni tumelazimika kutoza kiasi hicho cha fedha  kwa ajili ya  mahitaji  mbalimbali  yakiwemo,  ujenzi wa choo, malipo ya mlinzi na maji,” alisema Nkyandwale.
Alipotafutwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo kwa ufafanuzi, lakini simu yake haikupatikana.

Post a Comment

  1. [url=http://2013mulberrystore.co.uk]Mulberry outlet[/url] To assist those who wish to participate but who need assistance for travel and lodging, NYU Law School has committed to provide 25 scholarships of up to $1,000 per person to help pay for travel and lodgings. [url=http://dkgoose.com]Canada Goose Parka[/url] Ejopelwmd [url=http://www.pandorajewelleryukoutlet.co.uk]cheap pandora[/url]
    ysstkp 667321 [url=http://www.canadagoosestorontofactory.ca]canadian parka[/url] 479745 [url=http://www.officialcanadagooseparkas.ca]canada goose jackets price[/url]

    ReplyDelete
  2. I had to watch the episode over at Hulu, because I don't watch Hulu videos on Funimation. [url=http://www.ukdresshop.co.uk]Cocktail Dresses uk[/url]
    [url=http://www.canadagoosehommes.com]canada goose chilliwack[/url] But if you're in the look for something not too flat and not too tall, a mid-heel black satin shoe is right for you.
    The men are allowed to wear cream tux jackets, obviously, and the Scots, kilts, and the women would only get a funny look if their dress contained other colours, but with everyone in black and white, the overall effect is lovely. [url=http://www.salemulberryshop.co.uk]Mulberry ooutlet online[/url] Stretches while the person sits on the floor use a towel wrapped around the ball of the foot to provide resistance while the hands tug evenly at the top of the towel. These seconds add up and produce daily training for the brain to focus all of its resources on balancing.. Surely you've seen those poor souls who look awful waiting in vain in line hoping to get in before the night is out.
    If you are heading to a party and are wearing a beautiful strap or even strapless dress, all you need to add more drama to your outfit is a pretty scarf. [url=http://www.soldesgoosefr.com]canada goose pas cher[/url] • Just like eating tapas is way different compared to relishing curry wurst; the differences in Spanish and German cultures are just as unique.
    It can start to work within four to eight weeks although it may take longer. And even a Japanese who declares himself a total unbeliever as a great many do today may merely be displaying reluctance to subscribe to a particular creed or set of dogmas, for in any case he prefers non-verbal modes of communication. Through various self-confidence together with a very good mental attitude, it is easy to small gravel it piece of transfer be dressed in and even believe decent at the same time. [url=http://www.promkleidde.com/]Prom Kleid 2013[/url]

    ReplyDelete
  3. At this point, the dish is more or less ready. [url=http://www.idressoutlet.co.uk]Homecoming Dresses[/url]
    http://mulberryonlineuk.co.uk Perfect supports from all kinds of ideas are very necessary to exist in industry.
    Also it seems she understands that her attractive thighs are some of her best functions as she's always wearing brief gowns and shirts rich in heels.. [url=http://www.salemulberryshop.co.uk]Mulberry handbags[/url] One important criterion regarding the coding is that all items are secured by a permanent marking system. The brand has significant market share for basic apparel. Nesses tipos de auxílios, incluem-se palmilhas de gel para o peito dos pés e para o calcanhar (que ajudam a minimizar o atrito na parte de trás) e remendos ásperos para colar em uma sola escorregadia, proporcionando a você uma tração melhor.
    Since there are a amount of causes that can head to dishonor a alliance loving, but today, Drake benefits are essential to associates of a extensive duration of full-time function has become a of the most contrary for grieving.. [url=http://www.soldesgoosefr.com]canada goose femme[/url] Axillary Readings: Here you are measuring the blood temperature in the axillary artery.
    Suffering through acne is bad enough, but if you're left with highly visible pits and craters on your face, there are several treatments that give excellent results. However, if you want to ensure that your boots last then make sure that you care for them well and don't when ever possible wear them when the weather is very wet.. Howard Roper invented the first one in 1867. [url=http://www.canadapascherfr.com]Canada Goose Expedition Parka[/url]

    ReplyDelete

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item