CHEKA TARATIBU...

Trafiki kasimamisha gari moja karibu na taa za kuongozea magari Salander Bridge. Dereva akashusha kioo na kuuliza, "Kuna tatizo lolote afande?" Trafiki akajibu, "Hapana, ila nataka kukuzawadia Shilingi 50,000 kama zawadi yako ya uendeshaji mzuri. Je, utazifanyia nini?" Dereva akajibu, "Ooh asante sana afande. Nitazitumia kukatia leseni ya udereva!" Duh, kasheshe...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item