CHEKA TARATIBU...
https://roztoday.blogspot.com/2013/01/cheka-taratibu_15.html
Kijana mmoja kapata nafasi ya kwenda Ulaya kwa matembezi. Jioni moja akawa anataka kuwapa stori wenyeji wake na mambo yakawa hivi; "SIR, TO PLANT MOUNT KILIMANJARO IS NOT JOB PRESIDENT BECAUSE IS NOT SNAKE ONE BY ONE!" Kumbe alitaka kusema; "Mheshimiwa, kupanda Mlima Kilimanjaro sio kazi rahisi sababu haujanyooka moja kwa moja!" Duh, balaa...