DUNIANI KUNA MAMBO! HEBU CHEKI MBWA HUYU...
https://roztoday.blogspot.com/2013/01/duniani-kuna-mambo-hebu-cheki-mbwa-huyu.html
Nani kasema muziki ni kwa binadamu pekee? Hakuna kitu bwana, kila kiumbe kinaguswa kivyake kama mbwa huyu kiziwi alivyoshindwa kabisa kujizuia na kujikuta akisakata muziki kwa hisia za kipekee.