CHEKA TARATIBU...
https://roztoday.blogspot.com/2013/01/cheka-taratibu_16.html
Jamaa kaanguka mbele ya jengo la Benki Kuu ya Tanzania. Kama kawaida watu wakafika pale kumpa msaada. Ndipo mmoja wa waliokuwa wakimsaidia akasema, "Aisee, hebu mpeni maji mengi!" Ghafla yule jamaa akainuka na kujibu kwa ukali, "Ebo! Ningekuwa nataka maji si ningeanguka DAWASCO, we vipi!" Duh, kasheshe...