Baba mwenye nyumba alikuwa akimsifia msichana wa kazi kwa jinsi anavyoweza kubana matumizi hapo nyumbani. Msichana baada ya kushukuru akaongezea, "We si unaona hata hivi vijiti vya meno bado vipo vingi tu, kila ninapotumia kimoja nakirudisha humo humo!" Duh, kasheshe...