Bajaji imegonga mti kando ya barabara ya Bagamoyo. Ajabu ni kwamba watu walikuwa wakipita bila kumpa msaada dereva ambaye alikuwa kabanwa kwenye mti. Baada ya uchunguzi ikagundulika tatizo ni maneno yaliyoandikwa nyuma ya ile bajaji, "NIACHENI HII NDIO STAILI YANGU!" Kasheshe...