CHEKA TARATIBU...

Binti mmoja wa kabila la Kipare kamfuata mama yake kumshitakia alichofanyiwa na baba yake mzazi. Binti: "Mama, jana nimemfuata baba kumwomba hela za kwenda kusuka, kaninyoa nywele zote!" Mama akajibu: "Una bahati sana. Ungemwomba pesa za kununua dawa ya mswaki angekung'oa meno yote!" Kasheshe...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item