CHEKA TARATIBU...

Baada ya ugomvi mkubwa wa wanandoa, mke kaamua kuvunga kila kilicho chake. Mume akauliza: "Unakwenda wapi sasa?" Mke akajibu: "Kwa mama yanu. Nakutakia kila la kheri na hawa wanao. Baada ya dakika kadhaa mume naye akabeba begi lake na kuanza kuondoka. Mke akauliza: "Unabeba begi kwenda wapi?" Mume akajibu: "Kwa mama yangu." Mke akauliza: "Na hawa watoto je watabaki na nani?" Mume akajibu: "Si wataenda kwa mama yao!" Ama kweli dawa ya moto ni moto...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item