HAKIKA TUMETOKA MBALI...
https://roztoday.blogspot.com/2013/03/hakika-tumetoka-mbali.html
|
Ng'ombe hawa wakiwa kwenye eneo la Kiwanda cha Tanganyika Packers wakisubiria kuchinjwa na nyama kusambazwa katika mabucha mbalimbali jijini Dar es Salaam, mwaka 1960. Kiwanda hiki ambacho kiko maeneo ya Kawe kwa sasa kinaonekana kutelekezwa huku jengo zuri linaloonekana pichani kwa sasa likibaki kuwa gofu. Eneo walipo ng'ombe hawa, kwa sasa vinatumika kama viwanja vya mpira. |
Posted by
Ekisha Admin