HIVI NDIVYO TAIFA STARS ILIVYOPIGA HATUA KOMBE LA DUNIA 2014...
https://roztoday.blogspot.com/2013/03/hivi-ndivyo-taifa-stars-ilivyopiga.html
|
Skrini kubwa ya Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ilivyokuwa ikisomeka mara baada ya mechi kati ya Taifa Stars na Morocco ambapo vijana wa Tanzania walifanikiwa kupiga hatua nyingine kuweza kucheza fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika nchini Brazil mwaka 2014. Kwa sasa Tanzania inashika nafasi ya pili katika kundi lake ikiwa imejikusanyia pointi 6 nyuma ya Ivory Coast yenye pointi 7. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Taifa Stars. |
Posted by
Ekisha Admin