UMRI WAMTUPA MKONO MBABE CHUCK NORRIS...

KUSHOTO: Chuck Norris alivyo sasa. KULIA: Chuck Norris wakati wa enzi zake za mikiki mikiki.
Chuck Norris asiyeweza kuharibika hatimaye amefikia wakati wake ... wakati wa uzee.

Norris mwenye miaka 73 sasa -- akiwa na uso usiyokuwa na madevu yake yaliyozoeleka katika filamu zake nyingi -- alionekana Alhamisi iliyopita mjini Hawaii akiwa kavalia fulana yake ya bluu, miwani ya jua, na bukta ... huku akionekana kuwa umri umemtupa mkono.
Huyu ndiye mbabe aliyetamba katika filamu zake zisizosahaulika za Delta Force I & II, Missing In Action na nyingine nyingi zikiwamo mfululizo wa The Texas Ranger.

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item