KAMA ULIKUWA HUJUI, HUU NDIO USAFIRI WA KWENDA MBAGALA...

Baadhi ya abiria wa kwenda Mbagala wakigombania kupanda kwenye basi kama walivyonaswa na kamera yetu kwenye Stendi Kuu ya Daladala Ubungo, Dar es Salaam jioni ya leo. Abiria wengi wa Mbagala wamejizolea umaarufu wa kupanda mabasi kwa kupitia madirishani na hivyo kusababisha uharibifu mkubwa kwenye mabasi hayo kiasi cha kuwafanya makondakta kulazimika kufunga madirisha kila waingiapo kwenye stendi hiyo ili kuepusha balaa. Je, bado unafikiria kuishi Mbagala? (PIcha na ziro99blog).

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item